Jintara Poonlarp

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jintara Poonlarp

Jintara Poonlarp (amezaliwa Mkoa wa Roi Et, 6 Machi 1969) ni mwimbaji na mwigizaji, kutoka nchini Thailand[1][2][3].

Alijulikana kwa nyimbo zake za kiasili na ballads za Luk thung[4], sawa na Pumpuang Duangjan.

Matamasha na ziara[hariri | hariri chanzo]

  • 1987 : Took Lauk Oak Rong Rien
  • 1993 : Jao Bao Hai
  • 1998 : Rak Salai Dokfai Ban

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jintara Poonlarp kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.