Jimmy Butler
Mandhari
Jimmy Butler (alizaliwa 14 Septemba 1989) ni mchezaji wa mpira wa kikapu kutokea Marekani anayeichezea timu ya Miami Heat katika Chama cha taifa cha mpira wa kikapu (NBA).
Baada ya kuichezea timu ya Chuo cha Tyler Junior, alihamia kwenda Chuo Kikuu cha Marquette. Alichaguliwa kama chaguo la 30 kwenye machaguzi ya wachezaji wa mpira wa kikapu na Chama cha taifa cha mpira wa kikapu(NBA) mnamo mwaka 2011 katika timu ya Chicago Bulls.
Butler amefanikiwa kuteuliwa mara nne katika timu ya mastaa Marekani. Mwaka 2015, alishinda tuzo ya Chama cha taifa cha mpira wa kikapu (NBA) kama mchezaji bora wa mwaka.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Jimmy Butler kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |