Nenda kwa yaliyomo

Jimbo la Uchaguzi la Eldoret Kaskazini

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Eldoret Kaskazini lilikuwa jimbo la uchaguzi nchini kenya, moja kati ya matatu ya Wilaya ya Uasin Gishu. Eneo hili lilianzishwa kwa uchaguzi mkuu wa 1966. Mbunge wa sasa wa Jimbo hili ni William Ruto, mwanasiasa maarufu nchini Kenya.

Uchaguzi Mbunge [1] Chama vidokezo
1966 Noah Chelugui KANU Mfumo wa Chama Kimoja
1969 William Morogo arap Saina KANU Mfumo wa Chama Kimoja
1974 Chelagat Mutai KANU Mfumo wa Chama Kimoja
1979 Chelagat Mutai KANU Mfumo wa Chama Kimoja. Mutai Mutai alitorokea Tanzania mnamo 1981 [2]
1981 Nicanor Kirmurgor arap Sirma KANU Uchaguzi mdogo
1983 William Morogo arap Saina KANU Mfumo wa Chama Kimoja.
1988 Reuben Chesire KANU Mfumo wa Chama Kimoja.
1992 William Morogo arap Saina KANU
1997 William Ruto KANU
2002 William Ruto KANU
2007 William Ruto ODM
Wodi za Uchaguzi
Wodi Wapiga Kura waliosajiliwa Utawala wa eneo
Eldoret Kaskazini 1,740 Munisipali ya Eldoret
Huruma 13,525 Munisipali ya Eldoret
Kamagut 5,836 Wareng county
Kamukunji 4,986 Munisipali ya Eldoret
Kapyemit 7,206 Munisipali ya Eldoret
Kidiwa / Kapsuswa 8,849 Munisipali ya Eldoret
Kiplombe 6,733 Wareng county
Kipsomba 6,064 Wareng county
Koisagat 6,334 Wareng county
Moi's Bridge 9,974 Wareng county
Ngenyilel 7,096 Wareng county
Soy 5,226 Wareng county
Stadium / Industrial 5,120 Munisipali ya Eldoret
Sugoi 5,233 Wareng county
Tapsagoi 6,131 Wareng county
Ziwa 9,576 Wareng county
Total 109,629
*Septemba 2005 [3].

  1. Kituo cha Mfumo wa vyama vingi: siasa na Wabunge wa Kenya, 1944-2007 Ilihifadhiwa 28 Februari 2008 kwenye Wayback Machine.
  2. Daily Nation, 22 Aprili. 2002: MP set for re-election history
  3. Electoral Commission of Kenya: Registered voters per polling station by electoral area/ward and constituency