Nenda kwa yaliyomo

Jim Chuchu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jim Chuchu
AmezaliwaChuchu
7/8/1982
UraiaMkenya
Kazi yakempiga picha
Tovuti
jimchuchu.com
Jim Chuchu (2015)

Jim Chuchu (alizaliwa Kenya, 7 Agosti 1982) ni mpigaji picha aliyejulikana kupitia utoaji wa filamu inayohusu ushoga.[1]

  1. Cassandra Vinograd. "Kenya Launches Country's First Viral Music Video". WSJ (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2023-04-06.