Jiji la Kuwait

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jiji la Kuwait


Jiji la Kuwait
Nchi Kuwait


Jiji la Kuwait au Kuwait City (Kiarabu: madinat-al-Kuwait - مدينة الكويت) ni mji mkuu wa nchi ya Kuwait mwenye wakazi 32.000 mjini penyewe na takriban 2,380,000 katika rundiko la jiji.

Jiji la Kuwait liko kwenye pwani ya Ghuba ya Uajemi ni kitovu cha kisiasa, kiutamaduni na kiuchumi wa nchi.

Mwaka 1990 mji ulivamiwa na Irak lakini mwezi wa Februari 1991 Wairaki waliondolewa tena na jeshi la ushirikiano wa mataifa chini ya uongozi wa Marekani.

Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Jiji la Kuwait kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.