Jessie J
Jessica Ellen Cornish (maarufu kama Jessie J; alizaliwa 27 Machi 1988) ni mwimbaji, mtunzi wa nyimbo wa Uingereza.
Alizaliwa na kukulia London, alianza kazi yake ya jukwaani, akiwa na umri wa miaka 11.
![]() |
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Jessie J kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |