Jerry Doucette
Mandhari
Jerry Victor Doucette (9 Septemba 1951 – 18 Aprili 2022) alikuwa mpiga gitaa, mwimbaji na mwandishi wa nyimbo kutoka Kanada. Alijulikana kwa wimbo wake maarufu "Mama Let Him Play", ambao ulifika kwenye "Billboard Top 100". Bendi yake, Doucette, ilishinda Tuzo ya Juno kwa Kundi la Kutia Moyo la mwaka 1979.[1][2] [3]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Gyarmati, Sandor. "Tsawwassen music icon Jerry Doucette dies", 19 April 2022.
- ↑ "CANOE -- JAM! Music - Pop Encyclopedia - Doucette". Canadian Pop Music Encyclopedia. web.archive.org. 2015. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 9 Machi 2016. Iliwekwa mnamo 20 Aprili 2022.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Friend, David. "Jerry Doucette, known for hits "Mama Let Him Play" and "Nobody," dies", 19 April 2022. Retrieved on 20 April 2022.
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Jerry Doucette kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |