Jerome Allen
Jerome Allen ni Mmarekani mwenye taaluma ya kucheza mpira wa kikapu. Amewahi kuwa kocha mkuu wa chuo cha Pennsylvania kwa sasa ni kocha msaidizi huko Detroit PistonsNBA.
Amewahi kucheza michezo 41 kwa timu ya Timberwolves Mnamo mwaka 2009 alikuwa kocha msaidizi wa timu ya chuo cha Pennsylvania's men's basketball.[1][2][3]
Maisha ya awali
[hariri | hariri chanzo]Allen alizaliwa Philadelphia, Pennsylvania tarehe 28 Januari 1973. Familia yake ilikabiliwa na ugumu wa maisha, na aliishi na ndugu 18 katika nyumba yenye vyumba vitano, akishiriki kitanda na dada yake. Baadhi ya wanafamilia wake waliuza kokain aina ya crack, na baba yake aliacha familia walipokuwa na umri wa miaka 10.[4] Alisoma shule za umma katika utoto wake, lakini alihudhuria Episcopal Academy kwa shule ya sekondari. Akiwa Episcopal, alikua mmoja wa wachezaji bora wa mpira wa kikapu wa shule za sekondari nchini, na akapokea ofa za ufadhili wa masomo kutoka vyuo 16. Aliamua kujiunga na Penn kusomea uhasibu katika Wharton School, alipokuwa mdogo alikuwa amepanga kuwa mhasibu.[5]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Jerome Allen".
- ↑ "Penn fires basketball coach Glen Miller after 0–7 start". USA Today. Desemba 14, 2009. Iliwekwa mnamo Mei 1, 2019.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Jerome Allen".
- ↑ "Jerome Allen". NBA.com.
- ↑ "Breaking Bad: The False Step and Downfall of Penn Legend Jerome Allen".
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Jerome Allen kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |