Detroit Pistons

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mmoja kati ya wachezaji wa timu ya Detroit Pistons ya mpira wa kikapu nhini Marekani

Detroit Pistons ni timu ya kulipwa ya mpira wa kikapu kutoka mjini Detroit, Michigan. Wanachezea katika Chama cha Mpira wa Kikapu nchini Marekani. Vinara wao waliopo kwa sasa ni pamoja na Andre Drummond, Blake Griffin.

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]


Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Detroit Pistons kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.