Jeanine Basinger
Mandhari
Jeanine Basinger (alizaliwa Februari 3, 1936, ) [1]ni mwanahistoria wa filamu Mmarekani ambaye alistaafu mwaka wa (2020 ) akiwa Profesa wa Corwin-Fuller wa Masomo ya Filamu, na Mwanzilishi na Mkusanyaji wa The Cinema Archives katika Chuo Kikuu cha Wesleyan, Middletown, Connecticut.[2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Basinger, Jeanine 1936- (Jeanine Deyling Basinger) | Encyclopedia.com". www.encyclopedia.com. Iliwekwa mnamo 2024-05-11.
- ↑ "Jeanine D. Basinger - Faculty, Wesleyan University". www.wesleyan.edu. Iliwekwa mnamo 2024-05-11.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Jeanine Basinger kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |