Nenda kwa yaliyomo

Jean-Marie Seroney

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jean-Marie Seroney

Jean-Marie Seroney (25 Julai 19276 Desemba 1982) alikuwa mtetezi wa haki za binadamu wa Kenya, mbunge, na mfungwa wa dhamiri wa Amnesty International. Alifungwa kama mfungwa wa dhamiri kwa siku 1,155.[1]

  1. "Jean-Marie Seroney (1927-82)". East Africa and the Global 1960 (kwa Kiingereza). 2022-09-16. Iliwekwa mnamo 2022-10-24.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jean-Marie Seroney kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.