Jean-Aniel Assi
Mandhari
Jean-Aniel Eclesiaste Assi (alizaliwa Kodivaa, Agosti 12, 2004) ni mchezaji wa soka wa kulipwa ambaye anacheza kama winga katika timu ya Crown Legacy FC katika MLS Next Pro. Assi anaiwakilisha Kanada katika ngazi ya kimataifa.[1][2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Piedboeuf, Guillaume (4 Januari 2021). "Jean-Aniel Assi, le jeune joyau ivoirien de l'Impact forgé à Québec" [Jean-Aniel Assi, the young Ivorian jewel of the Impact forged in Quebec]. Ici Radio-Canada Télé (kwa Kifaransa).
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Tardif, Carl (Desemba 21, 2020). "Soccer: le saut dans l'histoire de Jean-Aniel Assi" [Soccer: the jump in the history of Jean-Aniel Assi]. Le Soleil (kwa Kifaransa).
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Jean-Aniel Assi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |