Jason Miller (mwandishi)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Faili:Father Damien Karras.jpg
Jason Miller akimwigiza Father Damien Karras katika filamu The Exorcist

Jason Miller (22 Aprili 193913 Mei 2001) alikuwa mwandishi na mwigizaji filamu kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1973, alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Tamthiliya kwa tamthiliya yake That Championship Season.

Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jason Miller (mwandishi) kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.