Nenda kwa yaliyomo

Janeth Jepkosgei

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Janeth Jepkosgei

Janeth Jepkosgei Busienei (alizaliwa 13 Desemba 1983) ni mwanariadha wa Kenya wa mbio za kati na bingwa wa zamani wa dunia.[1]

  1. "Janeth Jepkosgei".
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Janeth Jepkosgei kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.