Jan Sokol (mwanafalsafa)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Jan Sokol (18 Aprili 1936 – 16 Februari 2021)[1][2] alikuwa mwanafalsafa, mpinzani, mwanasiasa na mtafsiri wa Ucheki. Aliwahi kuwa Waziri wa Elimu, Vijana na Michezo mnamo 1998 chini ya Waziri Mkuu Josef Tošovský. KUanzia mwaka 1990 mpaka mwaka 1992 Alikuwa Mjumbe wa Bunge la Prague.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Zemřel filozof Jan Sokol. Exministrovi školství a prezidentskému kandidátovi bylo 84 let (cs). iROZHLAS. Iliwekwa mnamo 2022-10-02.
  2. Charter 77 signatory, former university rector Jan Sokol dies aged 84 (en). Radio Prague International (2021-02-16). Iliwekwa mnamo 2022-10-02.