Jamii:Wilaya ya Tunduru

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Tunduru Kuna chuo cha KIUMA ambacho hufundisha Ufundi mbalimbali, pia chuo Hicho hufundisha mafunzo ya uuguzi, na kutoa huduma za kihospitali, Pamoja na huduma hizo pia kuna shule ya Secondary inayo itwaKiuma Secondary ,a Hospitali inayo itwa KIUMA hospitali,, KIUMA ina milikiwa na Daktari anayejulikana kwa jina Dr. Matomora, na ipo katika kijiji cha Matemganga.