Jambo (salamu)
Mandhari
Jambo ni salamu ya Kiswahili ambayo inafanana kimaana na neno la Kiingereza Hello[1].
Kiisimu
[hariri | hariri chanzo]Jambo ni neno la lugha ya Kiswahili ambalo limo katika ngeli 5-6.
Asili ni kitenzi -amba kikimaanisha kusema.