Jalisco
Mandhari
Jalisco (kwa Kinahuatl: tambarare ya mchanga) ni moja kati ya majimbo 31 ya Mexico ya kati-magharibi ya nchi. Ina pwani na Pasifiki. Mji mkuu na mji mkubwa ni Guadalajara.
Imepakana na Nayarit, Zacatecas, Aguascalientes, San Luis Potosí, Guanajuato, Colima na Michoacán.
Jimbo lina wakazi wapatao 7,000,000 (2005) wanaokalia katika eneo la kilomita za mraba zipatazo 79,085.
Gavana wa jimbo ni Emilio González Márquez.
Lugha rasmi ni Kihispania.
Miji Mikubwa
[hariri | hariri chanzo]- Guadalajara (1,579,174)
- Puerto Vallarta (177,830)
- Lagos de Moreno (92,716)
- Ciudad Guzmán (90,000)
Viungo vya Nje
[hariri | hariri chanzo]- (Kihispania) Estado de Jalisco Sitio oficial Archived 21 Novemba 2009 at the Wayback Machine.
Makala hii kuhusu maeneo ya Mexiko bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Jalisco kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |