Jackson Muvangila Makwetta

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Jackson Muvangila Makwetta (amezaliwa tar. 15 Juni 1943) ni mbunge wa jimbo la Njombe Kaskazini katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nnje[hariri | hariri chanzo]