Nenda kwa yaliyomo

Jack McVea

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

John Vivian McVea (5 Novemba 191427 Desemba 2000) alikuwa mpiga ala za upepo wa jazzi, swing, blues, na rhythm and blues kutoka Marekani, na pia alikuwa kiongozi wa bendi. Alipiga clarinet na saxofoni ya tenor na baritone.[1]

  1. Eagle, Bob; LeBlanc, Eric S. (2013). Blues - A Regional Experience. Santa Barbara: Praeger Publishers. uk. 409. ISBN 978-0313344237.
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jack McVea kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.