Nenda kwa yaliyomo

Jack Butler Yeats

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jack Butler Yeats

Jack Butler Yeats (23 Agosti 187128 Machi 1957) alikuwa mchoraji kutoka nchi ya Ireland; kaka yake ni mshairi William Butler Yeats. Alichora michoro hasa kuhusu maisha, utamaduni na visasili vya nchi yake.

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jack Butler Yeats kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.