J. M. G. Le Clézio

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
J. M. G. Le Clézio

Jean-Marie Gustave Le Clézio (amezaliwa 13 Aprili 1940) ni mwandishi kutoka nchi ya Ufaransa. Mwaka wa 2009 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi.

Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu J. M. G. Le Clézio kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.