J. J. Anderson

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

J. J. Anderson (alizaliwa 25 Septemba 1960) alikuwa mchezaji wa mpira wa kikapu. Kabla hajajiunga na NBA alisoma katika shule ya chicago Metro na hapo baadae aliendelea katika chuo kikuu cha Bradley. Anderson ni mmoja kati ya mashujaa 7 wa timu ya Bradley na jezi yake ilikuwa na namba 11.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu J. J. Anderson kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.