Itaga
Mandhari
Itaga ni neno ambalo linaweza kuwa na maana tofauti kulingana na muktadha:
- Mlima Itaga katika mkoa wa Tabora, Tanzania
- Itaga (Singida), mji mdogo ulioko katika eneo la Singida nchini Tanzania
- Itaga (Kenya), mji mdogo wa Kenya ya Kati
- Itaga (Wakurya), mfumo wa jadi wa elimu na kuwekwa wakfu unaoendelea kutekelezwa na watu wa kabila la Abakuria nchini Tanzania na Kenya.