Nenda kwa yaliyomo

Iriba

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Msikiti Mkuu wa Iriba, mahali pa sala ya Ijumaa
Msikiti Mkuu wa Iriba, mahali pa sala ya Ijumaa

Iriba ni mji uliopo katika mkoa wa Wadi Fira nchini Chad.

Mwaka 2009 idadi ya watu ilikadiriwa kuwa 33,572 [1].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Major Cities, Republic of Chad, tovuti ya citypopulation.de
Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Iriba kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.