Nenda kwa yaliyomo

International Youth Fellowship

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
GNC/IYF in Nepal

IYF (INTERNATIONAL YOUTH FELLOSHIP) ni shirika la lisilokuwa la kiserikali ambalo asili yake ni nchi ya Korea Kusini. Shirika hili linajihusisha na mambo ya vijana katika kubadilisha mawazo na mitazamo ya kimaisha ikijikita kubadilisha akili za vijana katika kupambanua mambo.

Shirika hili limekua na kuenea katika nchi mbalimbali duniani ikiwemo Kenya, Tanzania, China, Korea, Malaysia, Ghana, Togo, Rwanda, Australia, USA, Mexico, Peru, Paraguay na nyingine nyingi ambazo hujumuisha vijana katika kubadilishana mawazo juu ya elimu za kijamii na kidini.

Kambi za Dunia

[hariri | hariri chanzo]

IYF huwa na kambi za dunia katika nchi mbalimbali kila mwaka na watu wa rika mbalimbali hasa vijana hikusanyika na kukutana pamoja. Vijana hutokea katika nchi mbalimbali wenya tamaduni mbalimbali na mitazamo tofauti ya kimaisha.

Lengo la Kambi ya Dunia

[hariri | hariri chanzo]
  • Kutoa na nafasi ya kutafuta njia katika maisha
  • kubadili mtazamo wa akili katika kupambanua mambo
  • Kujenga na kuboresha kizazi kijacho *Kujenga viongozi wa baabae
  • Kuweka malengo katika vitendo

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Wikimedia Commons ina media kuhusu: