Nenda kwa yaliyomo

Inger Andersen

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Familia, maisha na elimu

[hariri | hariri chanzo]

Inger Andersen ni mjukuu wa mwanahistoria na mtafiti wa kiakiolojia wa Kidenmarki. Ndugu yake alikuwa Hans la Cour, mwandishi na muandaaji wa filamu, anayejulikana katika ulimwengu wa michezo ya majahazi[1] na nyaraka za mazingira.[2]

Andersen alizaliwa Jerup, Denmark. Alihitimu katika shule ya sekondari ya Midtfyns Gymnasium mwaka 1977. Andersen alipata Shahada ya Kwanza (BA) mwaka 1981 kutoka Chuo cha North London Polytechnic Chuo Kikuu cha London Metropolitan) na mwaka 1982 alipata Shahada ya Uzamili (MA) kutoka Shule ya Oriental na Afrika katika Chuo Kikuu cha London, akiwa na umakini katika masomo ya maendeleo yanayojikita katika uchumi na maendeleo.[3]


Andersen alianza kazi Sudan mnamo mwaka 1982 ambapo alifanya kazi kama mwalimu wa Kiingereza chini ya programu ya walimu wa Kiingereza iliyojumuisha ufadhili wa Uingereza. Mwaka 1985, alijiunga na SudanAid, shirika la maendeleo na misaada la Mkutano wa Maaskofu Wakatoliki wa Sudan. Kazi yake ililenga kuleta misaada, kwa watu wenye shida ya njaa na ukame. [4] "Benki ya Dunia yatangaza majina ya makamu washirika watatu wapya mwishoni mwa Mwaka wake Mkubwa Zaidi wa Mkopo". Benki ya Dunia. Iliwekwa mnamo 13 Julai 2017.</ref>

Shughuli Nyingine

[hariri | hariri chanzo]

Mashirika ya Kimataifa

[hariri | hariri chanzo]

Bodi za Kampuni

[hariri | hariri chanzo]
  • Nespresso, Mwanachama wa Bodi ya Ushauri ya Uendelevu (NSAB)[6]

Mashirika Yasiyo ya Kiserikali

[hariri | hariri chanzo]
  1. "Eight Bells ... Hans La Cour Andersen". Sail-World. Iliwekwa mnamo 13 Julai 2017.
  2. "Hans la Cour". IMDb. Iliwekwa mnamo 13 Julai 2017.
  3. "World Bank experts: Inger Andersen". World Bank. 12 Agosti 2013. Iliwekwa mnamo 3 Desemba 2014.
  4. "69: Lyngby-Linienhttp". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 25 Mei 2005. Iliwekwa mnamo 13 Julai 2017. {{cite web}}: More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help)
  5. "UN Global Compact Board Members".
  6. "Nespresso Sustainability Advisory Board". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 23 Machi 2019. Iliwekwa mnamo 13 Julai 2017. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help)
  7. "SDSN High-level Leadership Council". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 7 Julai 2019. Iliwekwa mnamo 13 Julai 2017. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help)
  8. "SE4All Advisory Board members".
  9. "TEEB Advisory Board members".
  10. "About: World Economic Forum's System Initiative on Shaping the Future of Environment and Natural Resource Security". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 26 Septemba 2016.
  11. "UN Global Compact Board Members".
  12. Members International Gender Champions (IGC).
  13. [https://www.olympic.org /sustainability-and-legacy-commission Sustainability and Legacy Commission] International Olympic Committee (IOC).
  14. "IRF Annual Report. p.9".
  15. "Mayer Award Recipients".
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Inger Andersen kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.