Indore

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Indore ni jiji la Jimbo la Madhya Pradesh nchini Uhindi lenye wakazi karibu milioni 2 (2011). Ni mji mkubwa wa kumi na nne nchini Uhindi.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Uhindi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Indore kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.