Imara Jones

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Imara Jones
Imara Jones mnamo 2018
Imara Jones mnamo 2018
Jina la kuzaliwa Imara Jones
Nchi Mmarekani
Kazi yake Mwandishi wa Habari
Tovuti rasmi http://imarajones.com/

Imara Jones ni mwanzilishi wa chombo cha habari cha TransLash,[1] jukwaa la habari za watu mbalimbali, matukio pamoja na miradi mbalimbali. TransLash hutoa taarifa za kupinga na kudhibiti ubadilishaji wa jinsia za watu huko nchini Marekani. TransLash iliteuliwa kutunukiwa tuzo kama chombo cha habari bora cha kidijitali.[2]

Mnamo mwaka 2019 aliongoza mkutano mkubwa wa Umoja wa Mataifa uliojadili juu ya Utofauti wa Kijinsia[3] ambao ulikuwa na washiriki zaidi ya 600.

Jones anafanya kazi kama mwenyeji, mchambuzi wa habari za anga na mwandishi aliyejikita kwenye mambo ya haki za kijamii na usawa. Ametajwa katika vituo kadhaa vya habari kama vile Guardian, Nation,[4][5] MSNBC, CNBC, NPR, Mic,[6][7] The Grio,[8][9] Colorlines[10] and the In The Thick[11] podcast. Alihojiwa pia kwa Mradi wa Historia ya Oral ya [[New York City]] kwa kushirikiana na Umma wa New York.[12] Jones alishikilia sera za kiuchumi katika Ikulu ya Clinton na nafasi katika mawasiliano huko Viacom ambapo aliongoza shindano lilojulikana kama kampeni ya VVU na UKIMWI. Alipata digrii kutoka London School of Economics na Columbia. Kwa sasa Jones ni Mdau wa Soros Equality [13] and on the board of the Anti Violence Project [14] and the New Pride Agenda.[15]

Elimu na maisha binafsi[hariri | hariri chanzo]

Jones ana shahada ya kwanza ya sayansi ya siasa kutoka Chuo Kikuu cha Columbia, na shahada ya uzamili ya uchumi kutoka London School of Economics[16][17][18] Kabla ya kazi yake ya uandishi wa habari, Jones alifanya kazi katika sera ya kibiashara ya kimataifa katika Ikulu ya Clinton, na kama mtendaji huko Viacom kuanzia 2005 hadi sasa.[17][18][19]

Tuzo na Wasifu[hariri | hariri chanzo]

Jones alishinda tuzo ya Emmy Award na Peabody Award[17] akapewa jina la bingwa wa utetezi 2018.[20] Imara pia alizawadiwa ushiriki wa Voqal 2018.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. TransLash Media
  2. The Last Sip
  3. UN High Level Meeting on Gender Diversity
  4. Jones, Imara. "Thanks, Jimmy Carter, for Stating What Should Be Obvious: Trump's Campaign Is Racist", 2016-05-26. Retrieved on 2021-05-22. (en-US) Archived from the original on 2019-08-10. 
  5. Jones, Imara. "Trans Women of Color Are the Past and Future of LGBTQ Liberation", 2019-06-27. Retrieved on 2021-05-22. (en-US) Archived from the original on 2020-01-10. 
  6. "Trump wants to grow our economy and deport millions of undocumented immigrants. He can't do both.". Mic (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2019-08-13. 
  7. "Repealing Obamacare would be devastating for transgender Americans". Mic (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2019-08-13. 
  8. Jones, Imara (2019-04-16). "OPINION: While Morehouse College's decision to admit trans men is significant, it's completely at the expense of trans women". theGrio (kwa en-US). Iliwekwa mnamo 2019-08-13. 
  9. Jones, Imara (2019-06-24). "OPINION: Confronting Black men's roles in the murders of Black transgender women may be the only way to save our lives". theGrio (kwa en-US). Iliwekwa mnamo 2019-08-13. 
  10. "Colorlines". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-06-26. Iliwekwa mnamo 2021-05-22. 
  11. "In The Thick". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-02-24. Iliwekwa mnamo 2021-05-22. 
  12. "NYPL Community Oral History Project | NYC Trans Oral History Project | Imara Jones". oralhistory.nypl.org. Iliwekwa mnamo 2019-08-15. 
  13. Soros Equality Fellow
  14. Anti Violence Project
  15. New Pride Agenda
  16. "Trans, black and loved: what happened when I returned to the deep south after transitioning", The Guardian, June 26, 2019. Retrieved on June 26, 2019. 
  17. 17.0 17.1 17.2 "A Different Vision For News: Q&A With Political Journalist Imara Jones", Forbes, June 1, 2018. Retrieved on June 26, 2019. 
  18. 18.0 18.1 "Imara Jones". ColorLines. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-06-26. Iliwekwa mnamo June 26, 2019.  Check date values in: |accessdate= (help)
  19. "Imara Jones - Source of the Week", NPR. Retrieved on June 26, 2019. Archived from the original on 2020-06-18. 
  20. "Champions of Pride", The Advocate, May 22, 2018. Retrieved on June 26, 2019. 
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Imara Jones kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.