Illizi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Picha ya mjini hapa.

Illizi (Kiarabu:إليزي) (wakazi. 10,163) ni mji uliopo kusini-mashariki mwa sehemu ya nchi ya Algeria. Huu ni mji mkuu wa Jimbo la Illizi. Ni moja kati ya milango ya kuingilia katika Hifadhi ya Taifa ya Tassili N'Ajjer kwenye mapango ya mchanga yaliyo na michoro ya kale na tarehe kuanzia miaka 6 000 KK. Kuna hoteli na sehemu mbili ya kuwa kambi za watalii, na vilevile mawakala kibao wa watalii.

Usafiri[hariri | hariri chanzo]

Mji pia una uwanja wa ndege wa Illizi.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

www.fjexpeditions.com


Kigezo:Miji Mikuu ya Majimbo ya Algeria


Makala hii kuhusu maeneo ya Algeria bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Illizi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.