Ile-Ife
Mandhari
Ile-Ife ni mji wa jimbo la Osun nchini Nigeria.
Mwaka 2006 umekadiriwa kuwa na wakazi 509,035.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu maeneo ya Nigeria bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Ile-Ife kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |