Nenda kwa yaliyomo

Ihor Kostenko

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ihor Kostenko

Ihor Ihorovych Kostenko (31 Desemba 199120 Februari 2014) alikuwa mwandishi wa habari wa Ukraine, mwanafunzi mwanaharakati na mwana Wikipedia aliyeuawa wakati wa matukio ya Euromaidan.[1]

  1. "На Майдані загинув вікіпедист Ігор Костенко". Вікімедіа Україна (kwa Kiukraini). 2014-02-23. Iliwekwa mnamo 2022-09-29.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ihor Kostenko kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.