Iceman (komiki)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Iceman (Mtu-Barafu)
Maelezo ya chapisho
MchapishajiMarvel Comics
Kujitokeza kwanza The X-Men #1 (Sep. 1963)
Waumbaji Stan Lee
Jack Kirby
Maelezo
Jina halisiRobert "Bobby" Louis Drake
SpishiMutanti
UshirikianoX-Men
X-Factor
Defenders
Champions
X-Terminators
The Twelve
Cataclysm Keys
Secret Defenders
Lakabu mashuhuriDrake Roberts, Mister Friese, Frosty
UwezoMamlaka ya barafu / kriokinesi


Iceman (Kiswahili: Mtu-Barafu, Robert "Bobby" Louis Drake) ni supa-shujaa wa ulimwengu wa Marvel Comics na alikuwa mwanachama wa pili wa X-Men. Iceman ana uwezo wa kriokinesi yaani uwezo wa kuganda kitu chochote na uwezo wa kuwa barafu vilevile.

Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Iceman (komiki) kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.