IBB

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

IBB ni kifupisho cha International Broadcasting Bureau yaani Shirika la Kimataifa la Utangazaji. Liko chini ya serikali ya Marekani.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu "IBB" ni fupi mno. Inahitaji kupanuliwa mapema.