Nenda kwa yaliyomo

Huawei Mate 60

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Huawei Mate 60 Pro
Huawei Mate 60 Pro

Huawei Mate 60 na Mate 60 Pro / Pro+ / RS ni bidhaa ya hali ya juu ya mwaka 2023 ya shirika la Huawei la China kutoka katika mfululizo wake wa Huawei Mate.

Ina chipset ya Kirin 9000s SoC iliyoundwa na HiSilicon na kuzalishwa na SMIC foundry. Kifaa hiki kinaauni mawasiliano ya mtandao wa satelaiti na 5G[1].

Makala hii kuhusu mambo ya teknolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu mada hiyo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.