Huascaran

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mlima Huascaran

Huascaran ni mlima wa Andes katika nchi ya Peru (Amerika Kusini).

Urefu wake ni mita 6,768 juu ya usawa wa bahari, hivyo unazidi milima yote ya nchi hiyo.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]