Huang Yaqiong

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Huang kwenye Mashindano ya Dunia ya BWF ya 2015
Huang kwenye Mashindano ya Dunia ya BWF ya 2015

Huang Yaqiong (amezaliwa Februari 28, 1994) ni mchezaji wa badmintoni kutoka Jamhuri ya Watu wa China[1].

Alishinda tuzo za Uingereza michezo ya wazi mwaka 2017 akiwa na Lu Kai[2] na 2019 akiwa na Zheng Siwei. Pamoja na Lu , aliibuka kuwa bingwa wa Michuano ya Asia 2017, na mshirika wake wa sasa Zheng, alishinda medali ya dhahabu kwenye michezo ya Asia na alishikilia ubingwa wa dunia BWF mwaka 2018 na 2019. Huang alitunikiwa tuzo ya mchezaji bora wa kike wa mwaka 2018 na 2019 wa BWF [3][4]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "凤凰网". www.ifeng.com. Iliwekwa mnamo 2021-12-23. 
  2. "History made as curtains fall on the 2017 YONEX All England - Yonex All England Open Badminton Championships". web.archive.org. 2017-03-18. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-03-18. Iliwekwa mnamo 2021-12-23. 
  3. "浙江这对高分高颜值姐弟组合 拿下亚运会羽毛球混双金牌 - 杭州网 - 杭州新闻中心". hznews.hangzhou.com.cn. Iliwekwa mnamo 2021-12-23. 
  4. "Momota, Huang are BWF Players of the Year". bwfworldtourfinals.bwfbadminton.com (kwa en-US). Iliwekwa mnamo 2021-12-23.