Howie Seago
Mandhari

Howie Seago (Disemba 15, 1953 [1]) ni mwigizaji na mkurugenzi wa Marekani.
Maisha ya awali, familia na elimu
[hariri | hariri chanzo]Seago, ambaye ni kiziwi, alizaliwa Tacoma, Washington. Baba yake alikuwa na shida ya kusikia, pamoja na familia yake kuwa na historia ya kutokusikia(viziwi).[2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Slovick, Matt (Juni 9, 1998). "Out of Deafness". The Washington Post.
{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Slovick, Matt (Juni 9, 1988). "Out of Deafness". Washington Post. Iliwekwa mnamo Januari 8, 2014.
{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Howie Seago kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
]