Howey Ou
Mandhari
Howey Ou ni mwanaharakati wa mazingira wa nchini China, ambaye aliandaa mgomo wa shule kwa ajili ya hali ya hewa huko Guilin kusini mwa China, akitaka hatua zaidi zichukuliwe ili kupunguza utoaji wa gesi joto na hivyo mabadiliko ya hali ya hewa nchini China . .[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Elena Morresi. "Howey Ou: China's first school climate striker – video profile", 2020-07-20.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Howey Ou kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |