Hospitali ya IST
Mandhari
Hospitali ya IST (kwa kirefu Information Solution for Telemedicine) ilianzishwa mwaka 1998 kama mpango huru wa kitabibu wa kujitolea pasipo na faida,lakini kufikia mwaka 1999 ilijengwa rasmi na kuwa na vifaa vya kamili vya kitabibu [1]
Ni hospitali inayopatikana katika mkoa wa Dar es Salaam eneo la Msasani
Ni hospitali ambayo inatoa huduma katika mfumo wa kiuanachama kwa mashirika,kampuni na watu binafsi [2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ International School of Tanganyika CampusDar es Salaam Ruvu Street, 0746 499411 0718 783393, Istclinic@istclinic.com. "ABOUT". IST Clinic (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2020-03-07.
{{cite web}}
: CS1 maint: multiple names: authors list (link) CS1 maint: numeric names: authors list (link) - ↑ https://www.myguidetanzania.com/services/ist-clinic
Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |