Hkakabo Razi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Hkakabo Razi

Hkakabo Razi ni mlima wenye kimo cha m 5,881 juu ya usawa wa bahari.

Uko Myanmar na ni mrefu kuliko yote ya Asia Kusini-Mashariki.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Map of Asian states.png Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Hkakabo Razi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.