Nenda kwa yaliyomo

Hivi Ama Vile

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
“Hivi Ama Vile”
“Hivi Ama Vile” cover
Kava la Hivi Ama Vile
Single ya Roma na Stamina
Rostam
Imetolewa 18 Agosti, 2017
Muundo Upakuzi mtandaoni
Imerekodiwa 2017
Aina Hip hop
Urefu 3:28
Studio Babaz Entertainment
Mtunzi Roma
Stamina
Mtayarishaji Mr. T. Touch
Mwenendo wa single za Roma na Stamina
Rostam
"Zimbabwe"
(2017)
"Hivi Ama Vile"
(2017)

"Hivi-Ama-Vile" (pia unajulikana kama Watani wa Jadi) ni jina la wimbo uliotoka 18 Agosti, 2017 wa wasanii wa muziki wa hip hop kutoka nchini Tanzania - Rostam, yaani Roma na Stamina ndiyo kifupi cha Rostam. Wimbo umetayarishwa na Mr. T. Touch ukiwa wimbo wa kwanza kutolewa kama Rostam. Wimbo una majibizano ya nani ni nani, na nani zaidi kuliko nani. Wametajwa wasanii, wanasiasa na watu wengine wenye athira kubwa katika jamii ya Watanzania. Wimbo umetoka siku nane tangu kutolewa wimbo wa Roma wa "Zimbabwe", yaani ulitoka tarehe 10 Agosti 2017 na huu ukatoka tarehe 18 Agosti 2017. Video ya wimbo huu umeongozwa na Nicklass aliyeongoza wimbo wa Zimbabwe pia.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]