Hirondina Joshua

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Hirondina Juliana Francisco Joshua (amezaliwa Maputo, 31 Mei 1987) ni mwanamke mwandishi na mshairi kutoka nchi ya Msumbiji. [1]

Vitabu[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Hirondina Joshua kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.