Hirofumi Yamashita

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Hirofumi Yamashita (kwa Kijapani 山下 弘文, Yamashita Hirofumi; alifariki mnamo mwaka 2000) alikuwa mwanamazingira wa nchini Japani.

Alitunukiwa Tuzo ya Mazingira ya Goldman mnamo mwaka 1998[1] kwa juhudi zake za ulinzi wa baharini.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Goldman Environmental Prize: Hirofumi Yamashita Archived 7 Februari 2012 at the Wayback Machine (Retrieved on November 27, 2007)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Hirofumi Yamashita kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.