Hifadhi ya Taifa ya Didessa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Hifadhi ya Taifa ya Didessa ni mbuga ya taifa nchini Ethiopia . Iko katika bonde la Mto Didessa, katika Ukanda wa Kamashi wa Mkoa wa Benishangul-Gumuz magharibi mwa Ethiopia

Inachukua eneo la kilomita za mraba 1300. [1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Planet, Lonely. "Didesa Wildlife Sanctuary in Nekemte, Ethiopia". Lonely Planet (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2020-10-12. 
Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Hifadhi ya Taifa ya Didessa kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.