Hifadhi ya Msitu wa Amber

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Hifadhi ya Msitu wa Amber ni hifadhi ya wanyamapori ya Madagaska .

Jina linatokana na maua ya miti fulani, ambayo hufunika mlima na kuangaza kwa amber kutoka mbali. [1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Amber mountain national park". MADAMAGAZINE (kwa en-US). Iliwekwa mnamo 2020-08-25. 
Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Hifadhi ya Msitu wa Amber kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.