Hifadhi ya Mazingira ya Kwelera

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Hifadhi ya Mazingira ya Kwelera ni miongoni mwa hifadhi zinazopatikana mashariki mwa mji wa Cape Town huko Afrika Kusini. Kuweza kuingia katika hifadhi hii ya Kwelera ni lazima upitie Bustani ya Kitaifa ya Mimea ya Kwelera amabayo kwa sasa imekuwa kama sehemu ya bustani ya mimea.

Hifadhi hii inaenda mpaka mto Kwelera hadi mashariki mwa mto Gqunube.

Bioanuwai[hariri | hariri chanzo]

Hifadhi hii, inazungukwa kila upande na mito, ina uoto wa milima ya pwani ambayo inapatikana na wanyamapori wengi.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]