Hifadhi ya Mazingira ya Gulu
Mandhari
Hifadhi ya Mazingira ya Gulu, sehemu ya Hifadhi kubwa ya Mazingira ya Pwani ya London Mashariki, ni hifadhi ya msitu wa pwani katika eneo la Pwani ya Pori la Rasi ya Mashariki,mwa Afrika Kusini. [1] Hifadhi hiyo iko kati ya mwalo la Mto Gxulu, ulio upande wake wa magharibi, na mwalo la Mto Igoda upande wa mashariki.
Historia
[hariri | hariri chanzo]Hifadhi iliundwa mwaka wa 1983 pamoja na Hifadhi ya Mazingira ya Cape Henderson na Hifadhi ya Mazingira ya Kwelera kwa ajili ya uhifadhi wa wanyama na mimea ya eneo hilo. [2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.
|