Hifadhi ya Mazingira ya Caledon

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru


Hifadhi ya Mazingira ya Caledon, iko kilomita 120 kusini-mashariki mwa Bloemfontein kwenye barabara ya R701 katikati ya Wepener na Smithfield katika Jimbo la Free State, Afrika Kusini . Ina ukubwa wa hekta 2,300.

Wanyama katika hifadhi[hariri | hariri chanzo]

Angalia pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]