Hifadhi ya Mazingira ya Bwawa la Koppies

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Hifadhi ya Mazingira ya Bwawa la Koppies, Iko kwenye mwinuko wa jimbo la Free State la Afrika Kusini . Mji wa Koppies uko km 55 kaskazini mwa Kroonstad, nje kidogo ya barabara ya Taifa N1 katikati ya Kroonstad na Sasolburg . Hifadhi ya asili ni ipo km 16 kutoka mashariki mwa mji, na ina ukubwa wa hekta 3,400.

Angalia pia[hariri | hariri chanzo]

Idara: Utalii. [1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]